East African Melody (Rukia Ramadhani) - Nikumbatie



Uploaded by: lamuboy
Video Description:
A very nice song from the East African Melody.Relax and Enjoy!!


Tags for this video: African coast East kenya kiswahili Melody nice nikumbatie somali song suaheli swahili taarab taarabu tanzania tarabu

Find more videos in the "Music" category
See more videos uploaded by lamuboy

Related Videos
Taarab: Zilipendwa Part 1Swahili Taarab: Vidongezuhura swaleh - jino la pempe
taarab-zilipendwa-part-1.htmltaarab-zilipendwa-part-1.htmltaarab-zilipendwa-part-1.html
Taarab: Najiamini Part 2Taarab: MnaungulikaMzee Yusuf - Unanyodo
taarab-zilipendwa-part-1.htmltaarab-zilipendwa-part-1.htmltaarab-zilipendwa-part-1.html


Share This Video:       StumbleUpon       del.icio.us       Reddit       digg       Furl       Spurl       Simpy       YahooMyWeb


Comments for this video: Show || Hide
Comments for this video on YouTube
Wawaaaaa mambo ya ... ( 1 year ago by kinyume)
Wawaaaaa mambo ya kiunguja hayo!! Selelea habibi selelea Go Rukia go Zanzibar/ East African Melody
Ooooyaaahaa Darukia ... ( 1 year ago by nawal01)
Ooooyaaahaa Darukia tupashe roho, kuweli mahaba yataki haraka.... W
Weweeeee Selelea... ... ( 1 year ago by kokwi)
Weweeeee Selelea...........Fagilieni EA Melody
Mambo ya rusha roho ... ( 1 year ago by usaniinaizesheni)
Mambo ya rusha roho hayo babuuu!!!
yhis is ma best ... ( 1 year ago by samoi1)
yhis is ma best song from EA melody.
wa this is the best ... ( 1 year ago by 00750085139)
wa this is the best song i ,ve had for a long time
I have been looking ... ( 1 year ago by simbizikoko)
I have been looking for this for long time to comfort me now i got it,na mimi nakupenda SALAM KUTOKA UKU AMERIKAN SALAM KWELI
Santa saana... ... ( 1 year ago by Alfuwaleela)
Santa saana... nyimbo za wenyewe hizo. Kawaida si posti kwenye ukumbi huu, lakini imebidi nikupe hongera. Watu kumbusha mbali kweli.
Hii ndiyo taarabu ... ( 1 year ago by 3457430)
Hii ndiyo taarabu kweli. Ushairi umenoga si kidogo. Kweli hamshindani;sheo chako twakifahamu. Huku Marekani twaisikia ngoma hiyo
Asante. Salamu ... ( 1 year ago by DJTeezed)
Asante. Salamu kheir Kutoka hapa New ZEaland.
mwache aona pia ... ( 1 year ago by zenji2000)
mwache aona pia ashituke,zenji hiyo,cheza na mimi,yoyote hapa, mdogo kwa mkubwa
Nikumbatie wenye ... ( 1 year ago by likedatshorty)
Nikumbatie wenye wivu watazamee,nikumbatie roho yake imuume. njiani nikipta arudi kinyumenyume, katakiwi yeye panda mi sina khabari naeeee , ajijue cheo chake mi na yeye atushindani atuone ashituke anijue mimi nani..Haloooo, i loove Taarab
c'est tres bon ( 1 year ago by rumonge)
c'est tres bon
Swaaaaaaaaaafi sana ( 1 year ago by borndrunk76)
Swaaaaaaaaaafi sana
Yes! Yes! Hug me so ... ( 1 year ago by larryboy1995)
Yes! Yes! Hug me so that he can die of the green eyed monster! Let him know his place, and that we are incompatible.....dance with me, baby, nice n slow....who said east african music don't rock??????? This is the stuff!!!
asanta sana lamuboy ... ( 1 year ago by nunaschen)
asanta sana lamuboy... salam toka edmonton canada
Voila, rohoni ... ( 1 year ago by AbuSharif1)
Voila, rohoni aumwe.Asante Lamuboy, salam zangu kutoka nchi ya maziwa: Australia
Rukia Untie,nataka ... ( 8 months ago by Generalidibabu)
Rukia Untie,nataka kuja hapo Dar-eslaam Tanganyika . Niambie utacheza ngoma wapi. Napenda Taraab .
asante saana kutoka ... ( 6 months ago by ukindex07)
asante saana kutoka hupa kampala uganda
Nyimbo maridadi. ... ( 2 weeks ago by mukenia12)
Nyimbo maridadi. Naweza toa wapi wimbo ulosema "una nguo ya kufua na wala huna sabuni" I used to listen to taraab music on Kenya Broadcasting Corporation zilizopendwa kipindi the them days when it was Voice of Kenya. Ha ha ha Zanzibar fascinates me. I wanna go buy those beautiful attires there.



Tell a friend:


URL 
Embed Code